Kitabu kimefanyiwa marejeo na kuandikwa na Ulli Kloiber
Kitabu hiki cha elimu ya takataka ni mapitio ya kitabu cha muongozo wa mwalimu wa udhibiti wa takataka kilichoandaliwa katika mpango wa mradi wa Pro Poor Tourism (Mpango wa Kusaidia Utalii Duni), uliotekelezwa na ACRA pamoja na Changamoto na kufadhiliwa na umoja wa Nchi za Ulaya.
Kitabu hichi kipya kimetayarisha kukushajiisha WEWE, sio mwalimu pekee yake, bali pia mwanafunzi, muuza duka na jirani yako kuweka bayana ulimwengu wa takataka unaotuzunguka na kutuathiri: maisha yetu, afya yetu, na mazingira yetu. Kitabu hiki kimetengenezwa kutia moyo uangalizi na udadisi wa takataka na uhusiano wa mambo ya mazingira ambayo ni muhimu kwako.
This booklet is also available in English to read or download here.
Sehemu ya 1 – Maelezo awali ya takataka
Sehemu ya 2 – Udhibiti wa takataka (including Vipi utatengeneza mbolea yako mwenyewe)
Sehemu ya 3 – Uchunguzi wa takataka
Chuo cha elimu ya afya / klabu ya mazingira na ungana nao rejea